Jamani me sielewagi nini maana ya shanga kiunoni na kazi zake haswa ila naskiaga ina shughuli yake maalum na pia inakuwaje mpaka watoto wadogo [ke] wavalishwe wakati shughuli iliyonayo ni ya kiutu uzima, je utamchukuliaje mpenzi wako unapomuona na shanga!!!!! you are welcome!!!