Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Abdallah Ulega (aliyenyoosha mkono) akiwa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Abdallah Ulega akipata picha ya pamoja mara baada ya kumaliza ufunguzi wa Shamba la mafunzo na Ufugaji wa Samaki lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wadau wakifurahia.
Kibao cha ufunguzi.
 Naibu Waziri wa  Kilimo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
 Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wadau waliojitokeza katika ufunfuzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Farm Fish) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi wa Big Fish Farm Bw. Abraham Mdeme ambaye ni mmiliki wa kampuni ya ufugaji wa samaki na mbegu za samaki (Kamale, Sato) akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba hilo na eneo la uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki.
Wadau waliojitokeza katika ufunfuzi wa shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul (pili toka kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Abdallah Ulega (anayefuatia kulia) katika ufunguzi wa shamba la Mafunzo na uzalishaji wa samaki.
Mkurugenzi wa Big Fish Farm Bw. Abraham Mdeme (kwanza kulia) ambaye ni mmiliki wa kampuni ya ufugaji wa samaki na mbegu za samaki (Kamale, Sato) akitoa maelezo kwa Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Abdallah Ulega (katikati) akiwa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul (kwanza kushoto) mara baada ya ufunguzi wa shamba la mafunzo na ufugaji samaki lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Naibu waziri wa Kilimo Mhe. Abdallah Ulega (kulia) akiwa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul (kushoto) wakitembelea shamba la mafunzo na ufugaji wa Kilimo cha Samaki (Big Fish Farm) lililopo jijini Dar es Salsa.
Mabwawa ya kisasa yanayotumika kufugia.
Mitambo ya kisasa ya kukuzia samaki.