"Niliiona story mitandaoni kwamba Diamondplatnumz aliniomba collabo nikamnyima na nikafatilia nikagundua ni kweli yeye amesema hivyo ila Mimi sikumbuki kama kuna mtu anaitwa Diamond amewahi kunitafuta, Ikitokea tumefanya kazi itakua jambo zuri"
.
Ameyasema hayo JOH MAKINI katika Interview na Wasafi FM