Katika ngoma mpya iliyotolewa na Diamond pamoja na tanansha Donna imezua ngumzo baada ya msanii mkubwa kutoka Marekani kumuomba diamond amtumie wimbo ule, Kupitia ukurasa wa Diamond wa Instagrama msanii huyo ambaye ni Swiz beatz alituma meseji na kusema Send me ASP (as soon as possible) huku Diamond akimjibu one second.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL
Huenda msanii huyo mkubwa anataka kufanya rimex ya wimbo huo.