Mtangazaji mpya wa wasafi Fm @jumalokole2 amefunguka siri ya kupewa kipindi Wasafi na Diamond Platnumz  na kueleza kuwa licha ya kupewa kipindi hicho hata acha kamwe kufanya mambo ya umbea.

Mbali na hilo Lokole amezungumzia sakata la Dula Makabila kuvaa wigi na kujiremba kama mwanamke “Mimi ndio nilimshauri “ @auntyezekiel alipigana na mwanamke kisa @moseiyobo “ “Mimi nishawahi kumuwasha @diamondplatnumz mara nyingi sana post zangu anasoma mara nne na ameshawahi kuni Unfollow mara nyingi sana”
SOMA HABARI HIZI KIRAHISI KUPITIA APP YETU YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD HAPA

VIDEO: