Mrembo huyo wa Nigeria kwa jina la Gbemi amejitosa twitter kueleza kuwa yeye kuolewa lazima mwanaume atoe mahari ya dola U$1 million sawa na zaidi ya billion 2 za Kibongo.
Yani kamwacha Diva mbali kwenye Dau