Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB

Wakati huo huo mchizi Ravany ambae bado yupo WCB Ndani ya siku tatu kafunga Viewers Milion moja na usheee: