Ni mda sasa toka Harmonize atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea
Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na Media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri na WCB na kusababisha nyimbo zao kutochezwa Kwnye Media Kadhaa

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Alianza Kurekebisha na Clouds akaenda EFM na sasa rasmi Ea Radio na Tv zimeanza kupiga kazi zake bila kinyongo

Je inaweza msogeza mbele zaidi katika mziki wake kutokana na support atayoipata..?