Hamis wa Bongo Star Search anasema "Harmonize anafeli sana alitembelea kiki yangu wakati mimi nina trend alipost kuwa atanisaidia lakini hajanisaini mpaka leo, anazingia sana sijui mmakonde gani"