Haji manara "Niguse sehemu zote ila usiniguse kwenye dini yangu usiguse Uislamu wangu, Usidharau walimu wa Madrasa nipo tayari kufa hadharani kwaajili ya Uislamu Wangu..Najivunia kuwa Mwalimu wa Madrasa"