Kwa mujibu wa tafiti inaelezwa kuwa watu wambea au wapenda umbea huishi maisha marefu kwani umbea husaidia kumtoa mtu stress pia kutoa dukuduku moyoni kwa kumwambia mtu mwingine umbea ulionao, Unaambiwa ukikaa nalo utakufa nalo, tuendelee kupiga umbea ili tuishi maisha marefu na yenye furaha Jamani...