Miezi kadhaa iliyopita Fahyma akihojiwa na Ijumaa amesema mjengo aliokuwa akiishi na Rayvanny huko Salasala, Dar ni wao wameujenga kwa kudunduliza -

Lakini kuumbuka kwa Fahyma kumetajwa kufuatia mjengo huo kuingizwa sokoni na dalali ili kupangishwa. Dalali huyo alipoulizwa na Risasi inakuwaje Wakati mjengo huo Fahyma alisema yeye na Rayvanny wameujenga? Dalali amesema sio kweli Rayvanny alikuwa ameukodi tu kwa mwezi gharama ikiwa milioni 1.8 za za Kibongo -

HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>

Dalali alipoulizwa kama Rayvanny amefukuzwa na mwenye nyumba ? Amesema sio kweli bali Rayvanny ameondoka mwenyewe baada ya kodi yake kuisha