Mwadada mwenye mvuto wa aina yake wenye kuwababaisha watu maarufu wengi ikiwemo hata vigogo wa mjengoni pale Dodoma diva malinzi amefunguka kupitia insta story ya Instagram yake kwamba yeye ndie very expensive mtangazaji na mwenye ushawishi mkubwa kuliko mtangazaji yoyote hapa nchini.

Ameandika Haya Kupitia Instagram yake:

Divatheebawse
"FACT - Mimi Kama Mtangazaji Mkubwa Kabisa Mwenye Tuzo Kadhaa za Utangazaji Bora wa Kike Tanzania Kwenye Kipengele Cha Radio , Mtangazaji Mwenye Followers wengi Tanzania kwenye Mitandao ya Kijamii kuanzia facebook, twitter na instagram nimesema nafikir wagen wa mambo hilo mlijue .. Mkiumia kunyweni Panado - Katika Upande wa Radio sina Mpinzani kwakwel atoke wap , Nimesema Hivyo hutaki go poo - bye , Full Stop -)) sifuti comments siblock panya wala paka wala kunguni yoyote .. my fans wapo apa wanajulikana sababu wana akili sio hawashikiwi akili and this is factual , truthfuly ... ukwel ndio huu ... na yan we Uwe hater shabiki shabiki maandaz we go with the records ndio mana kuwa wasomi na watu wasiojua ata maana ya neno invisible .. hii tu ni katika ile hali ya kuonyesha hatufanani ... ingawa wote tunaeza nunua MB .. i can reason with facts mtu akibishaaa hii , lazima mjue kutofautisha ... ila kiukwel 😂😂😂 kuni follow tu means unanikubal so Pambana na hali yako😛"