Mtaarishaji wa video ya Gere ya tanashadonna na diamond platnumz director Kenny amesema makosa ya kukopy idea sio ya Diamond ni ya kwake kwa sababu yeye ndo ameusika na idea ya video nzima😂 nini maoni yako kwa director Huyo🤔