Hivi majuzi Diamond Platnumz alishambuliwa kwa kuiga Idea ya Video ya Mwanamuziki iza Kwenye wimbo walioshirikiana na Tanasha Dona...Sasa Jana tena kaachia wimbo mpya unaitwa GERE, Ndani ya Video hiyo amemkopy Kuvaa Kama Burna Boy Msanii Kutoka Nigeria