Diamond Apanda Ndege Mpaka NAIROBI Kumtoa Out Tanasha Dona..Wambea Tumefungwa Midomo
Diamond na Tanasha watoka Out Dinner kwaajili ya kufurahia Mahaba yao ya Valentines Huko Naivasha Kenya , Hii imefunga watu mdomo waliokuwa wanadai wawili hawa wameachana hasa kutoka na tukio la Diamond Kukacha Uzinduzi wa EP ya Tanasha kwa Kizingizio cha Family Problem
Tazama Hapo Chini Kwenye Video Ujionee Mwenyewe..Comments za Wadau nimekuwekea hapo chini ya VIDEO