Mfalme Wa Bongo Fleva Na C.E.O wa Kings Music ALIKIBA baada ya kitambo kirefu hatimaye amezifollow kurasa mbili kwenye mtandao wake wa Instagram.
Kiba mwenye wafuasi milioni 5 kwenye mtandao huo, kwa muda mrefu amekuwa akitumia IG bila kumfollow mtu wala page yeyote lakini round hii amezifollow kurasa mbili na watu wengi wanasema msanii huyo amezifollow kurasa hizo kwasababu za kibiashara na si kwa jambo lingine.