MENEJA wa mwanamuziki @diamondplatnumz, Said Fella amesema wamepeleka ombi serikalini kuomba kupewa eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam kujenga sanamu ya msanii huyo.
Aidha, ameiomba serikali imchukulie Diamond kama mlima Kilimanjaro kwa namna anavyoing’arisha Tanzania kimataifa