1. 20% ; jamaa alifanikiwa kuchukua tuzo kama 5 hivi huku akiwa na mashairi makali na kufanikiwa kukubalika na mashabiki bongo lakn cha ajabu mavuno yake kweny MZIKI hayajaendana na umaarufu aliouvuna!

2. DUDUBAYA; a.k.a konkii Mkongwe huyu kitambo alivuma akiwa anamiliki kundi lake LA dar skendo lakin Leo hii ameishia kutafuta kiki instagram na kuzidiwa mpk na mtoto aliyekuw anamtuma dukan dogo hamidu a.k.a nyandu tozzy

3. CHID BENZ ; Mkali toka ilala wakat alivuma na mpk kujiita king of dar es salaam lakn ajabu mafanikio aliyoyapata aliishia kweny starehe na tamati kupotea kabisa kwenye mziki

4. LORD IZZY ; kiongozi toka kundi maarufu toka arusha nako 2 nako alipata kuvuma sana mpk kufanikiwa kutoka na mrembo ray c lakn starehe ujanja mwingi ulimpoteza na kujikuta amechezea bahati ambayo alitakiwa kuwa kimafanikio xawa na wenzake weus kma joh makini au g nako

5. DAZ BABA NA FEROUZ ;
Vijana hatari xna kutoka bongo records kutokea kwenye MZIKI wa bongo fleva lakin ajabu hawa jamaa starehe, ujana uliwapotez hku mziki ukiwa umewalipa Bali wao walichezea bahati hku ikibak historia tu kwao bila mafanikio ya maana kuvuna!!

Ni mtazamo tu