Muigizaji na mwanamitandao ya kijamii #MWIJAKU amemjia juu Diamond Platnumz kuhusu swala la kulipwa zaidi ya milioni 60 kwenye show moja. Mwijaku amefunguka pia kuhusu uhusiano uliopo kati ya Diamond na mtangazaji wa Clouds Fm DIVA THE BAWSE. Amsifia kuhusu kujenga msikiti Kigoma,amchana Harmonize kuzurura hovyo baada ya kujitoa WCB, mambo makubwa aliyoyafanya DIAMOND

VIDEO: