Baracka the Prince ametamka hayo wakat akihojiwa na kituo fulan, amesema Kwa sasa ni kumkosea heshima Diamond kumfananisha na Ally Kiba , na hvyo Ally Kiba anatakiwa afananishwe na Best naso , video sekunde 38 waweza Icheki