UKITAKA KUMFANANISHA MSANII YOYOTE WA BONGO NA AFRICA HII NA DIAMOND PLATNUMZ LAZIMA AWE NA VIGEZO VIFUATAVYO 

✔️ 1. Awe na Followers 8.5M 
✔️ 2. Awe ana International Collabos zenye Impact  30m+ views on youtube sio chini ya 6 ( alizoshirikishwa na alizoshirikisha) ✔️ 3. Awe ana Record label ambayo imezaa wasanii wakubwa sio chini ya wasanii wa 
✔️4 tena wenye International standards 
✔️ 5.Awe amebeba Tuzo kubwa zote barani Africa 
✔️ 6. Familia yake yote iwe mastaa ✔️ 7. Awe na TV na Radio
✔️8. Awe anaongelewa kila Siku Iwe kwa mazuri au
 Mabaya 
✔️9. Pia awe na manager kama hawa @babutale
@mkubwafellatmk @sallam_sk 
✔️ 10. Awe amefanya show kwenye nchi ambazo watanzania nchi hizo tunazisoma kwenye ramani tu