Msanii nguli wa filamu za kibongo Steve Nyerere amemtaka Mwenyekitiwa simba mfanyabiashara Mohamed Dewji kusimamia msimamo wake wa mwanzo ambao aliutoa jana baada ya timu yake kufungwa na Mtibwa Sugar na kukosa kombe la mapinduzi.

Steve nyerere amemtaka Mo kuendelea kujiuzulu na si kurudi nyuma tena kama alivyo fanya huku akimpa ujumbe wa wana singida wa kutaka wa kuwafadhili huku akimwambia sifa ya mwanaume wa kweli ni kuwa na msimamo hivyo asimamie kauli ya jana ya kujihuzulu uenyekiti wa simba.

Kwenye akaunti yake ya aliandika haya Steve Nyerere;

 Ndugu yangu , Kaka yangu,Rafiki yangu,Bahati nzuri sijakujua Leo .Namiaka 20 Tumefanya Mengi sana,ILA nilicho jifunza kwako wakati Tupo Pamoja ni Misimamo,Hasa kwa neno lako la kwanza unalo toaga unalisimamia vizuri Tu,@. Mo sijawahi kukuona unabadilisha Msimamo kwa masaa 4 Tu sio Mo ninayemjua,Mwenye kusimamia misimamo yake,Naamini kwenye uwezo wako wa kutobadilisha Msimamo wako wa kwanza, Ukiona Unatamani kuwa mfadhili wa timu Wanasingida Wamenituma wanasema SINGIDA WANAKUITAJI KAMA WALIVOKUPA KURA YAO KIPINDI CHA UBUNGE WANAOMBA SASA FURAHA KWA TIMU YAO MWISHO WA KUNUKUUU,@Nakukumbusha Tu kuna ugonjwa unaitwa kujiuzuru huuu hauitaji kuwa unajiuzuru alafu unafuta kauli ukizoea ni ugojwa mbayaaa sana Turudi Kwenye kauli ya kwanza au twende Singida.Simamia Msimamo wako wa kwanza,@Mo Mwanaume kamili sifa yake kubwa ni MISIMAMO KAKA.Naimani Utasimamia misimamo yako konk.