Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria nchini Mhe. Ahmed Djellal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani nchini Mhe. Regina Hess kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule Taifa la Qatar nchini Mhe. Hussein Bin Ahmed Mohamed Ibrahim Al-Homaid katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14,2020