Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia) akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (wa pili kushoto) wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa matumizi ya majengo ya Mradi NSSF yaliyopo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi yatakayotumiwa na wanafunzi wa baadhi ya Vyuo vya Elimu ya Juu vilivyopo jijini Dar es salaam, wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba hizo, iliyofanyika leo Januari18, 2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Balozi Ally Siwa na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William Erio.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Balozi Ally Siwa (kushoto) wakati wakiwa ndani ya moja ya majengo hayo. wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William Erio.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wa kushoto) pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako (kulia) wakinawa maji katika moja ya mabomba yaliyopo kwenye eneo hilo ikiwa ni ishara ya kuonyesha huduma mbalimbali zimekamilika katika eneo hilo, huku wakishuhudiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Balozi Ally Siwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William Erio.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akimuonyesha kitu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako wakati walipotembelea majengo ya NSSF yaliyipo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi, wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba hizo kwa wakuu wa vyuo vilivyoingia makubaliano ya kuyatumia majengo hayo, leo Januari18, 2019
Picha mbalimbali za makabidhiano ya funguo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba zaidi ya 60 ya NSSF zilizopo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi kwa wakuu wa vyuo vilivyoingia makubaliano ya kuyatumia majengo hayo, iliyofanyika leo Januari18, 2019.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba zaidi ya 60 ya NSSF zilizopo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi kwa wakuu wa vyuo vilivyoingia makubaliano ya kuyatumia majengo hayo, iliyofanyika leo Januari18, 2019.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, William Erio akizungumza wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba zaidi ya 60 ya NSSF zilizopo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi kwa wakuu wa vyuo vilivyoingia makubaliano ya kuyatumia majengo hayo, iliyofanyika leo Januari18, 2019.
Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF, Balozi Ally Siwa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidiana fungio za nyumba zaidi ya 60 ya NSSF zilizopo eneo la Vikunai, Mtoni Kijichi kwa wakuu wa vyuo vilivyoingia makubaliano ya kuyatumia majengo hayo, iliyofanyika leo Januari18, 2019.