Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza waislam kwa mambo makuu mawili.

1. MAZISHI
Kwa utaratibu wa waislam mtu anapo lala mauti hapitishi siku mbili anazikwa.kwa utaratibu huu huwaondolea wafiwa gharama za kuendesha msiba n.k.
Kwa waislam hukumu ya maiti iko mikononi mwa mwenyezi Mungu mwenyewe tofauti na madhehebu ya kikristo kama huendi jumuiya unasusiwa tena wanabeba tu na kufukia bila ibada yoyote.

2. NDOA
Waislam hawanaga mbwembwe nyingi kwenye ndoa zao,mala nyingi ndoa inafungiwa nyumbani,hakuna kadi wala uzio watu wanakula,kunywa na kucheza.