Star wa Muziki wa Tekeu Hbaba mkali wa Mauno akiwa kwenye harakati za kumdiss 
*Diamondplatnumz ili apate Kick mpya mjini mambo yamekuwa tofuati kwa Mama watoto wake.
Mkali huyo aliyezaa watoto wawili na mwigizaji nguli kunako kiwanda cha Bongo Movie Bidada Flora Mvungi amegeuka mbogo kwa mumewe wake.
Hii ni baada ya kuandika ujumbe unaohusishwa kuchukizwa na Mwanamuziki huyo anayetafuta Kick kwa Udi na uvumba ili kurudi hewani.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Flora amendaika hivi
"Yaani hivi mtu unajiskiaje kutukanwa mitandaoni ?unadhani ni sifa?akili zako zimejaa matope machafu kabisaa ,,yaani unajisifu kutukanwa Walah najuta mimi sijui ilikuwaje kwakweli .

Sasa wewe tukana na utukanwe kadri utakavyo  ILA PLEASE PLEASE WANANGU MSIWAINGIZE KWENYE UPUMBAVU WAKO UNAOENDELEA NAO,,SITAKI NANILISHAMUA SITAKI KUJIHUSISHA NA CHOCHOTE KINACHOKUHUSU SASA SIWEZI KUKAA KIMYA KUONA WANANGU WANATUKANWA SANA HII WIKI NA WEWE NDIYO SABABU SITAKI PUMBAVU ZAKO KOMAAA WAKUTUKANE WEWE NA WANAOKUHUSU SIO WANANGU SITAKI..SIJUI UKOJE SASA UNAPATA FAIDA GANI LABDA KWA HAYO UNAYOFANYA MFYUUUUU .
.
KAMA KAWAIDA ZUBERI BUS NA KISESA ZITAFIKISHA UJUMBE HUU SITAKI WANANGU WAHUSISHWE NA UPUUZI WAKO UNAOFANYA..
.
JAMANI EEEEH HAWA WATOTO HAWAMUHUSU HUYU MTU KABISAAA HANA DAMU NAO PLEASE MTUKANENI YEYE HADI MWISHO WANANGU PLEASE WAACHENI NI WA KWANGU MWENYEWE"
.
.
JE, UNA CHOCHOTE CHA KUMSHAURI H. BABA KUTOKANA NA UJUMBE HUU WA MAMA WATOTO WAKE??