Mimi nashangaa sana, hivi mtu unaanzaje kuwa fan wa mtu kama Hamisa Mobeto au Wema Sepetu?

Watu wenyewe hawajulkani hata wanafanya kazi gani kuendesha maisha yao. Wao kazi yao kubwa ni ku-edit photos mpaka zinapoteza uhalisia na kuziweka Insta.

Sio hawa wawili tu, yaani wale wadada wote wa aina kama ya hawa wawili.

Kuliko kuwa fan wa watu kama hawa si bora uwe fan hata wa fridge, uhifadhi vyakula visiharibike