Msanii wa Bongo Fleva na C.E.O wa @kondegang @harmonize_tz amefunguka kiundani zaidi kuhusu Album yake anayotarajia kuiachia ya #AFROEAST ambayo amewashirikisha wasanii mbalimbali akiwemo Burna Boy, Yemi Alade na wengine.


Mbali na hilo @harmonize_tz ameeleza matarajio yake ya kufanya kazi na @officialalikiba na kusema anatamani sana wasanii wengi wawepo kwenye Album yake lakini kuhusu @officialalikiba anatamani pia kufanya nae kazi na awepo kwenye Album hiyo ambayo anatarajia kuiachia siku sio nyingi.

Kupitia hiyo album yake Harmonize aliweka wazi kufanya kazi na msanii kutoka Nigeria ambaye ni raifiki ya Burna Boy na kusema yeye na Burn wana kazi nyingi sana sio moja hivi ni mtu wake wa karibu.

 VIDEO: