Habari ya mjini.Hii ndiyo Leymax cakes kutoka Dar es salaam!

Habari njema. Hii ni Leymax cakes kutoka Dar es salaam,Tanzania tuna habari nzuri ya kukuhabarisha wewe mwenye mahitaji ya Cakes za kisasa kwa ajili ya shuhuli yako.
Tunatoa huduma ya cakes za aina zote. Cakes za birthday, wedding na shuhuli zozote zinazohitaji cakes.
Na pia tunatoa madarasa ya uandaaji wa cakes / utengenezanji wa cakes za aina zote kutoka kwenye timu yetu yenye wafanyakazi makini na wenye uweledi. 

Unaweza kututembelea LEYMAX CAKE – ufipa street Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania Block number – 356 Call/whatsap- 0769084570/0714762512

Vilevile unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamiii. Instagram : @leyamaxcakes

Facebook : http://bit.ly/2FZlf0d

LEYMAX CAKE SCHOOL.

The post Habari ya mjini.Hii ndiyo Leymax cakes kutoka Dar es salaam! appeared first on cloudsmediatz.