Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz jana alipata nafasi ya Kuperform katika tukio la utoaji tuzo za CAF lililofanyika katika taifa la Misri

Katika Halfa hiyo Diamond Aliimba Wimbo wa Tetema na Yope, Sasa Mwanamuziki H Baba leo Ameandika Kupitia Ukurasa wake wa Instagram ujumbe unaonesha kumgusa Diamond Moja kwa Moja

"Sicheki nawapiga show za bure tena mnaomba mkaimbe bure mwisho wa siku mnaimba remix nyimbo za watu au zako hawazijui eti mnaitangaza tanzania unaimba wimbo wamkongo unasema wakwako huo ndio wimbo bora wa mwaka huu show yako umearikwa wewe imba nyimbo zako remix zanini? Nakaribisha matusi mapyaa FURU nyie " H Baba
Hii hapa ni Performance ya Diamond Akiimba wimbo wa Yope Remix