H Baba Afunguka Ukweli Mchungu "Diamond Ana ROHO Mbaya Sana Aliwachukua Babu Tale na Mkubwa FELLA ili Kuuwa TIP TOP na Yamoto Band
H.BABA afanya interview ya kufungulia mwaka adai Diamond Platnumz anaroho mbaya sana , adai alimchukua Babu Tale ili Kuua Kundi la TIP TOP ambalo lilikuwa hatari sana, Pia amesema alimchukua Mkubwa Fella Kuua Kundi la Yamoto Band