Msanii wa kizazi kipya DUDUBAYA Awajibu BASATA

-Nlipigiwa simu na BASATA nifike ofisini ila mimi sijaona umuhimu wa kwenda.
-Nawapa msaa 48 wafungue leseni yangu niendelee na shughuli zangu la sivyo naenda mahakamani nikishindwa mahakamani nahamia Uganda kufanya mziki huko

Mtazame Hapa: