"Basata nimepata wito wenu ila siwezi kuja haiwezekani mnaniita eti mnionye kisa nimetumia neno kufirw_, Hata mama Rwakatare anasemaga kanisani kuwa wasagaji, walawiti na wafir__ji hawataiona pepo, hata vitabu vitakatifu havijafumba, sasa mnataka nitumie neno gani? Kwa hiyo kama nataka kumfundisha mtoto wangu kuwa Kufir__ ni vibaya nimwambie kuchapwa fimbo ni Vibaya au? Naomba tuheshimiane"-Msanii Dudu Baya.