Msanii wa muziki wa Bongo Fleva GODFREY TUMAINI alimaarufu DUDU BAYA   Ameeleza nia yake ya kujisalimisha Basata Baada ya kukaidi wito alioitwa BASATA tarehe 6/01/2020 ambapo alihitajika kufika katika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA).


Lakini baada ya kukaidi wito huo wa Basata mnamo tarehe 07/01/2020 @basata.tanzania Ilitangaza kumfungia muziki na leo aliamua kwenda Basata Kwa ajili ya kuomba radhi na kutoa maelezo baada ya kupata tuhuma ambazo BASATA walieleza kwenye barua yao.


By Ally Juma.