Akijibu juu ya kupendwa sana na kusababisha taftan mitandaoni, a 31 years old Diva Gissele Malinzi au Al maarufu Kama Diva' Mtangazaji wa #Alazaroho ya Cloudsfm , anasema yeye huwa hajali wala kuumizwa na maneno ya watu sababu hao watu ni only 20% so wanajichosha yeye ni sikio la kufa linaingilia huku na kutokea kule

Yeye anaishi maisha kama ya Kim Kardashian au rihanna au mastar wa nje yeye anaishi maisha yake hataki maigizo ya kufurahisha watu flani yeye pia anaamini kama vita vita kama nice to me nice to yeye si mtu wa kubabaishwa ameyajibu hayo kupitia show yake ya Mtandao inayoitwa Keeping Up with Diva kupitia Divathebawsetv ,

Ala za roho inaanza saa 4 na nusu usiku siku hizi mpaka saba na nusu usiku kupitia cloudsfm na anadai hufurahia sana interaction na mashabiki zake na kucheza ngoma nzuri za taratibu na intavyu zenye kasi ya 4g sababu pia anadai Diva Mwenyewe Kwamba Yeye hujibu mashabiki zake sana anawapenda sasa kama humpendi amesema
meza wembe