msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz amepost video fupi ikionekana kama ni video ya muziki anaotarajia kuachia.Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe unaowataka mashabiki wake kufikisha comment elfu thelathini ilia aachie ngoma mpya.

Diamond ameandika haya:-

“30,000 Comments if you are ready for 2020 SIMBA!….⛽💣”