"Mimi juzi EFM waliniita kwenye show yao ya MZIKI MNENE tena wamemtuma binti mtangazaji anipigie ananiambia Chidbenz tunakuhitaji kuna show ila tutakulipa elfu 50, nikamuliza we mtoto umetumwa, mmekaa na wapumbavu wenzio mnilipe mimi elfu 50? nikakata simu" ChidBenz.