Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimbo akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoani Morogoro wakati mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi hao wa namna ya kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo.
Kaimu Mkurugenzi wa Mahusiano ya Nje wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Eliaza Mkuna akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wa namna ya kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo, Mkoani Morogoro.
Mratibu wa Wanafunzi waliosoma Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Pascal Ndaki akizungumza na kusisitiza jambo katika mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wa namna ya kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo, Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimbo akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoani Morogoro wakati mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi hao wa namna ya kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo. 
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiuliza maswali kutoka na mada iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimb, katika mkutano huo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifatilia kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimb, katika mkutano huo.
Picha ya Pamoja.