Balozi mpya wa Tanzania nchini Afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi leo amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Ciril Ramaphosa Ikulu leo. Pamoja na Balozi wa tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati za utambulisho.
Rais wa Afrika Kusini Ciril Ramaphosa pichani kati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi (kushoto) mara baada ya kukabidhi hati ya utambulisho Ikulu leo.
Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja General Gaudence S Milanzi leo amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Ciril Ramaphosa Ikulu leo. Pamoja na Balozi wa tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati za utambulisho.