Mkazi mmoja wa Owosso Michigan nchini Marekani, Howard Kirby. Amewashangaza wengi baada ya kukuta dola za Marekani 43,000 (Tsh. Milioni 98) zikiwa zimefichwa katika kochi la mtumba alilonunua, na kuamua kumtafuta mmiliki wa mwanzo wa kochi hilo na kumrudishia

Tukio hilo limewashangaza wengi na wengi humchukulia Howard kama shujaa wa zama hizi kwa tukio lake la kurudisha kiwango hiko cha pesa