Hatimaye gari aliyopewa zawadi Hamisa Mobetto Kwenye Birthday imefahamika kuwa ilikuwepo Bongo Kitambo na ilikuwa inatumiwa na Jamaa anajulikana kama Francis Mgaya...Ukiangalia picha ya chini anaonekana Mwijaku akiwa na wenzake wakinunua ndizi Mwezi wa Kumi wakiwa na gari hiyo, ila Mwijaku ameibuka na kutetea hoja kuwa Francis Mgaya ni muuza magari ...ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Uzeni na nyie magari kisha muone kama hatujaja kununua ...! Yeyote anae fanya biashara ya magari na kwa bei nnzuri sisi tutakua wateja wake ...! @francis__mgaya huyu ni mfanya biashara na sisi ni wateja tunanunua tunacho kitaka ...! #Tafutenu Pa kupumulia
Hii imekuja baada ya baadhi ya watu kudai hiyo gari Hamisa Mobetto ameiadhima ili kutafuta kiki