Ni baada ya Diva kusema Harmonize ndio msanii anayelipwa Pesa Nyingi kuliko wasanii wote Tanzania, Wadau huko Facebook wamecharuka...haya ni baadhi ya maoni yao:

Mwinshee Mbako Kutoka kwenye mtandao wa Africamania hii ndio orodha ya wasanii matajiri watatu...(1)Diamonds $5m (2)Kiba $4m (3)professa $3.5m...anakuja (4)Jide anakuja(5) Ay anafata(6)Nature anafata (7)Va essa Mdee...Kwa Harmonize yeye anautajiri wa $1m na kama utataka aje kutumbuiza kwenye show basi lazima umlipe sio chini ya $10000.Pesa zipo kwenye makadilio(not actual amount).Sasa Diva sijui katumia chanzo(Source) gani Kwa hiyo takwimu yake.

Nelly Junior Huyu kila siku utasikia harmonize ndy msanii mkubwa Afrika sasa swali n he bila diamond angemjua sometimes watanzania tuache unafiki hakuna msanii anayelipwa hela ndefu kwa shoo moja zaid ya mondi hapa Tanzania ukibishana we bisha tu


John Mgaya ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ naona ile mahali ya milion500 unaitafuta kwa mmakonde sasa maana sio kwakupiga debe uko hayo matango poli kawalishe wasio jielewa