NI Mwigizaji kutoka kwenye kiwanda cha  filamu Tanzania, Wolper ambae amekaa kwenye mahojiano na Ayo TV & millardayo.com kazungumza kuhusu kuhamia Arusha na mengineyo.

Unaweza ukaitazama hii video hapa chini ujionee alichofunguka