Msanii wa muziki Mbosso amefunguka kuzungumzia sababu ya kuweka picha za marehemu Martha nyumbani kwake wakati wazazi wa marehemu walikataa muimbaji huyo kuzaa na mtoto wao.

Mbosso akiongea kwa uchungu na Bongo5TV alisema bado familia hiyo haijakubali kumpatia mtoto.Msanii wa muziki Mbosso amefunguka kuzungumzia sababu ya kuweka picha za marehemu Martha nyumbani kwake wakati wazazi wa marehemu walikataa muimbaji huyo kuzaa na mtoto wao.

Mbosso akiongea kwa uchungu na Bongo5TV alisema bado familia hiyo haijakubali kumpatia mtoto.

VIDEO: