Mbeya Soudy Brown Amewafungukia tena Wasafi Kwa Kuandika haya:

"Mwenye Wivu Ajinyonge 😂😂🤣
Washkaji Zetu Wamekaa Vizuri Tu, Ko Moja Huko Walipo WanaTeseka
Watawaambia nini Watu? Kampeni Zao Za Ku Diss Zimefeli, Mikwara Mbuzi Imefeli
Waliwaambia watu wasiijaze Temeke, Wana Dsm WakaTapikaaaaaa

Kumbe Ni Waoga Hawapendi Wasanii Wenzao Wafaudu Jukwaa Kubwa la Fiesta
Jukwaa Kubwa la Kimataifa Ndani Ya Tanzania

Walikua Wana Diss mara Oooh Buku Tatu Mara oooh cjui nini
Ndio Buku 3 (Sisi Ndio Wataalamu)"