"Serikali zote za Kenya na Tanzania hazikufurahishwa na ile video, sisi wenyewe tukaamua kuishusha na hakuna yeyote alotuambia tuishushe, ni maamuzi yetu yenyewe" -: Ameyasema hayo Rosa Ree katika kipindi Cha XXL