MWAKA mpya 2020 utakaribishwa kwa namna yake kwa burudani ya kutosha ikijumrisha mkusanyiko wa vitu mbaliumbali katika Baa ya Rock City iliyopo Ubungo Maziwa, iliyopo urefu wa mita mita 400 kutoka stendi kuu ya Ubungo.
Ukiacha muziki mzuri kutoka kwa Ma DJ wazoefu waliopo ‘Rock City’pia utaalamu katika mapishi ya vyakula mbalimbali ndani ya jiko la Baa hiyo ni kivutio kingine cha pekee katika kuipamba sherehe hiyo muhimu ya kumaliza Mwaka 2019 na kuukaribisha Mwaka 2020.
Mballi na hayo wateja wa ‘Rock City’ siku hiyo watakutana na ‘Surprize’ ya kipekee hasa kwa wapendwa ‘Couple’ itakayopendeza zaidi ikiwemo kupewa ‘Bucket’ ya buree vinywaji wanavyotumia na hivyo kuwafanya kuuanza mwaka mpya wakiwa na abahati ya kipekee.
Njoo ushuhudie mandhari nzuri yenye hewa safi, Lounge ya nguvu lakini pia parking yenye usalama wa kutosha ikisindikizwa na uwepo wa ‘Car Wash’ bora itakayoufanya usafiri wako kuonekana kama umepokelewa leo bandarini.
Njoo upate vinywaji vya kila aina na mambo mengine mengi mazuri huku tukishuhudia matukio mbalimbali yatakayokuwa yakiendelea duniani kupitia Screen kubwa ikijumuishwa na Projector iliyofungwa mahali hapo.
Ukihitaji malazi, pia ‘Rock City’ inakusogeza karibu na watoa huduma nzuri za kulala kwa bei rafiki sambamba na ulinzi wa kutosha wa mali zako…
Njooni nyote tuusheherekee Mkesha wa Mwaka mpya wa 2020 sambamba na siku yenyewe ya Mwaka mpya.