Ray C anampa Ushauri diamondplatnumz Asema aache Vijembe....Hii ni baada ya siku hizi Mwanamuziki Diamond Platnumz kuwa mtu wa vijembe na kutoa maneno ya shombo mitandaoni hasa akiwalenga Radios ambazo ni wapinzani wake

Soma alichoandika Ray C: