


Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe .Samia Suluhu Hassan pamoja na balozi wa Canada nchini Mhe. O’Donnell na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuipokea rasmi ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 Katika uwanja wa ndege Mwanza jumamosi 14,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na Balaozi wa Canada nchini Mhe Pamela O’Donell na mkewe mama Janeth Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo waliondesha ndege ya mpya DEHavilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa mwanza jumamosi Desemba 14,2019

Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzani Dkt.John Pombe na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwapongeza kwa furaha marubani wazalendo walioendesha ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi Desemba14 ,2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa ATCL wakati wa mapokezi ya ndege mpya ya DE Havilland DASH8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa Ndege wa Mwanza Jumamosi 14,2019

